TANGAZO
Ndugu wanachama wa HANANG
VIJANA SACCOS mnakaribishwa kwenye kikao cha uchaguzi utakaofanyika
tarehe 20/02/2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Hanang Saa
Tatu kamili asubuhi(09:00AM) Kwa
maelezo zaidi piga simu na:
0784 –
157386
0766 - 988891
No comments:
Post a Comment