VIJANA
WOTE WA WILAYA YA HANANG, MNAKARIBISHWA KWENYE UZINDUZI WA SACCOS YA VIJANA WA
HANANG SIKU YA TAREHE 01/03/2014 KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI KATESH,
KUANZIA SAA TATU KAMILI ASUBUHI (9:00AM), MGENI RASMI ATAKUWA WAZIRI WA VIJANA
UTAMADUNI NA MICHEZO Mhe. Dk. FENELLA MUKANGARA, WAZIRI WA UWEZESHWAJI NA
UWEKEZAJI NA MBUNGE WA HANANG Mhe. Dk. MARY NAGU, NA PIA WAGENI WAALIKWA KUTOKA
NATIONAL HOUSING CORPORATION (NHC), BARAZA LA UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI TANZANIA
VIONGOZI WA WILAYA, MKOA NA VIONGOZI WENGINE WA KITAIFA.
VIJANA
WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA UZINDUZI HUO.
KWA
MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA:
M/KITI
WA TASKFORCE: DOMINICK DUNCAN
AU
WAFIKE OFISI YA VYAMA VYA USHIRIKA: KILIMO KATESH.
AU
PIGA SIMU NO.
0766988891
0786230675
No comments:
Post a Comment