Hanang Vijana Saccos ni shirika la kuweka na kukopa la vijana wanaoishi wilaya ya Hanang, lenye lengo la kuwajengea uwezo vijana kwa kuwapa mikopo yenye masharti nafuu na kuunda vikundi vya wajasiriamali ili kuwajengea vijana hao uwezo wa kujiajiri.
Thursday, 27 February 2014
Tangazo
Ndugu wajumbe wa Hanang Vijana Saccos, tunasikitika kuwatangazia
kuwa uzinduzi wa saccos yetu umeahirishwa mpaka hapo tutakapopewa taarifa rasmi.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
No comments:
Post a Comment