Friday 14 February 2014

Lengo Kuu

Hanang Vijana Saccos ina lengo la kuwawezesha vijana kiuchumi na kuamsha vipaji na uwezo wao wa kufanya kazi kwa kuunda vikundi vidogovidogo vya wajasiriamali na kuwapa elimu na mikopo yenye masharti nafuu itakayowawezesha vijana kujipatia kipato na kuwa chachu ya maendeleo yao, jamii inayowazunguka na Wilaya kwa ujumla.

1 comment:

  1. Hili i wazo zuri zaidi nililowahi kulikia.

    ReplyDelete